Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,161
- 1,493
Halafu mseme kuna watafiti Tanzania?Ukweli lazima usemwe.
Chadema ilipofikia inaelekea kufa kabisa katika siasa za vyama vingi Tanzania.
Chadema haikujengwa kwa sera bali ilijengwa na umahiri , weledi na uwezo wa mtu mmoja mmoja.
Alipo ondoka Zitto ndani ya Chadema, chama kiliyumba na hakikuwahi kukaa sawa mpaka sasa. Dr Slaah alijitahidi saana kuziba pengo la bwana Zitto.
Alipo ondoka Dr Slaah, Chadema sio kwamba kiliyumba tu bali kilipoteza mwelekeo, kimekuwa Chama cha matukio tu, kila wanachojaribu kufanya wanadondokea pua, movement zao zote zinafeli.
Sasa wameamua kumuondoa Halima Mdee na wenzake.
Hakuna asiyetambua uwezo binafsi wa Halima Mdee katika uwanja wa siasa za Tanzania. Mdee amekijenga chama, amefanya akina mama wengi wajiunge na siasa za upinzani.
Hakuna mwanamke yeyote hapa Tanzania ambaye anaweza lingana na Mdee katika siasa za upinzani. Mchango wa Mdee kwa Chadema ukimtoa Mbowe ni sawa na Wanachama wote waliobaki Chadema.
Katika vita vyote ulivyowahi kupigana Mh. Mbowe hii ya akina Halima Mdee na wenzake umeshindwa.
Ni chuki tu zimewaondoa Chadema akina Mdee na wenzake .
Hao akina Hilda si level ya Mdee.
Chadema kinaenda kuzikwa moja kwa moja kwenye siasa za Tanzania
#MUNGU IBARIKI TANZANIA #MUNGU MBARIKI MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA #SSH
Pamoja na yote, wembe ni ule ule. Ukizingua, unaadabishwa.Ukweli lazima usemwe.

Acha uzushi na upotoshajiUkweli lazima usemwe.

Uzushi upi? Sasa Halima Mdee utamlinganisha na naniAcha uzushi na upotoshaji
Labda na wewe na viwav wa rangi ya majaniUzushi upi? Sasa Halima Mdee utamlinganisha na nani
Chadema sio kwamba kimempa umaarufu Halima, ni kwa sababu Halima yuko vizuri kichwani.Huu ujinga umeutoa wapi?, Kama ndivyo kumbe anaweza kuwa na chama chake na akawa vizuri. Yaani chadema imuibue Halima na kumpaa umaarufu afu aje aipande kichwa?.
Unahitaji kuombewa.Kama si kwa sala,uombewe hata maji ya kunywa.Hizo akili za kujifikiria ni bora zaidi ya taasisi ndizo zinawagharimu.Ukweli lazima usemwe.
Chadema ilipofikia inaelekea kufa kabisa katika siasa za vyama vingi Tanzania.
Chadema haikujengwa kwa sera bali ilijengwa na umahiri , weledi na uwezo wa mtu mmoja mmoja.
Alipo ondoka Zitto ndani ya Chadema, chama kiliyumba na hakikuwahi kukaa sawa mpaka sasa. Dr Slaah alijitahidi saana kuziba pengo la bwana Zitto.
Alipo ondoka Dr Slaah, Chadema sio kwamba kiliyumba tu bali kilipoteza mwelekeo, kimekuwa Chama cha matukio tu, kila wanachojaribu kufanya wanadondokea pua, movement zao zote zinafeli.
Sasa wameamua kumuondoa Halima Mdee na wenzake.
Hakuna asiyetambua uwezo binafsi wa Halima Mdee katika uwanja wa siasa za Tanzania. Mdee amekijenga chama, amefanya akina mama wengi wajiunge na siasa za upinzani.
Hakuna mwanamke yeyote hapa Tanzania ambaye anaweza lingana na Mdee katika siasa za upinzani. Mchango wa Mdee kwa Chadema ukimtoa Mbowe ni sawa na Wanachama wote waliobaki Chadema.
Katika vita vyote ulivyowahi kupigana Mh. Mbowe hii ya akina Halima Mdee na wenzake umeshindwa.
Ni chuki tu zimewaondoa Chadema akina Mdee na wenzake .
Hao akina Hilda si level ya Mdee.
Chadema kinaenda kuzikwa moja kwa moja kwenye siasa za Tanzania
#MUNGU IBARIKI TANZANIA #MUNGU MBARIKI MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA #SSH
Mkuu nashukuru umekubali kuwa Halima yuko vizuri kichwaniPamoja na yote, wembe ni ule ule. Ukizingua, unaadabishwa.
Mdee alitolewa fresh from university, akapigiwa chapuo kwenye ubunge, akapewa support kwenye kampeni mpaka akaingia bungeni.
Alitengenezwa, so hakufika pale alipofika kwa jitihada binafsi
Umaarufu huo ni kama wewe ulivyo maarufu🚶Chadema sio kwamba kimempa umaarufu Halima, ni kwa sababu Halima yuko vizuri kichwani.
Chadema ina Wajumbe wa Bawacha Wangapi? Mbona hamjawapa umaarufu wa Halima?
Chadema ishapoteaMagufuli alisema wapinzani wanachelewesha maendeleo ,hivi huoni kuwa NI vizuri CHADEMA ikapotea ili maendeleo yakafika haraka!!!!
Ukweli lazima usemwe.
Chadema ilipofikia inaelekea kufa kabisa katika siasa za vyama vingi Tanzania.
Chadema haikujengwa kwa sera bali ilijengwa na umahiri , weledi na uwezo wa mtu mmoja mmoja.
Alipo ondoka Zitto ndani ya Chadema, chama kiliyumba na hakikuwahi kukaa sawa mpaka sasa. Dr Slaah alijitahidi saana kuziba pengo la bwana Zitto.
Alipo ondoka Dr Slaah, Chadema sio kwamba kiliyumba tu bali kilipoteza mwelekeo, kimekuwa Chama cha matukio tu, kila wanachojaribu kufanya wanadondokea pua, movement zao zote zinafeli.
Sasa wameamua kumuondoa Halima Mdee na wenzake.
Hakuna asiyetambua uwezo binafsi wa Halima Mdee katika uwanja wa siasa za Tanzania. Mdee amekijenga chama, amefanya akina mama wengi wajiunge na siasa za upinzani.
Hakuna mwanamke yeyote hapa Tanzania ambaye anaweza lingana na Mdee katika siasa za upinzani. Mchango wa Mdee kwa Chadema ukimtoa Mbowe ni sawa na Wanachama wote waliobaki Chadema.
Katika vita vyote ulivyowahi kupigana Mh. Mbowe hii ya akina Halima Mdee na wenzake umeshindwa.
Ni chuki tu zimewaondoa Chadema akina Mdee na wenzake .
Hao akina Hilda si level ya Mdee.
Chadema kinaenda kuzikwa moja kwa moja kwenye siasa za Tanzania
#MUNGU IBARIKI TANZANIA #MUNGU MBARIKI MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA #SSH
Kilishakufa mkuuwacha kife,
unaogopa kugharamia mazishi
Aombewe gilasi ya gong labda😝Unahitaji kuombewa.Kama si kwa sala,uombewe hata maji ya kunywa.Hizo akili za kujifikiria ni bora zaidi ya taasisi ndizo zinawagharimu.
Na wiwavi kijani wamefufuka🏃Chadema ishapotea