Mchango sh 5000 au kuitumikia serikali siku 14!

Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
7,051
12,560
Nimepigiwa simu na rafiki yangu huko wilaya kasulu akinieleza kuwa mkuu wa wilaya amewatangazia mchango wa ujenzi wa shule kwa kila mwenye miaka 18 na zaidi kulipa sh 5000!Ikifika dead line hujalipa basi utakamatwa na na serikali kisha kutumikishwa kwa siku 14!
Nilipouliza zaidi,nimeambiwa ni agizo toka wizarani!

Tunatumia kodi za wananchi kununua ndege tena tunajisifu kwa cash halafu tunakuja kuwabebesha mzigo wananchi kwa mabavu!!!

Nimebaki kinywa wazi kwa mshangao! 20190115_150441.jpg
20190115_150441.jpg
 
umehakiki kweli?
sikiliza nikwambie hii ilitokea lindi mnazi mmoja walifyekeshwa wakakatishwa visiki kujenga zahanati ulipopita mwenge waligoma kufungua zahanati waligundua kuna pesa ubadhilifu ulifanywa wakasema waliwapa wananchi ajira wafanye wamewalipa kwa bahati wananchi walikuwepo ah wakasema ukweli mpaka kesho hawajafungua kuna Kesi huko
 
Mkuu angalieni msije mkafanya watu wawe na taharuki kwa vitu vya kutunga.
 
Back
Top Bottom