Baada ya aliekuwa katibu mkuu wa chadema mh dr Slaa kuondoka na hoja zake nzito zilizoitingisha nchi enzi hizo kama vile ufisadi, mapambano dhidi ya ukandamizaji, haki nk. Sasa hivi chama hicho kimebaki na hoja za kuvizia viongozi wa serikali wanaoteleza kauli au kuangalia mavazi ili kuyafananisha na yao nk. Kweli vipigo vya mwaka 2015 na 2020 vimewachanganya makamanda hovyo. Hakika nyani anapokaribia kufa basi miti yote huteleza.