Mchango kwa dena amsi!

NINAKUMC WEWE!][/COLOR]naunga mkono
mi ntatoa laki moja ..
nani anakusanya ???
Michango yote kwangu, hakuna haja ya kutuma kwa akaunti, mimi nitapita nyumba kwa nyumba katika kila mkoa, wilaya, kata, kijiji na kitongoji chochote TZ kukusanyaga hiyo mihela na kuitia katika likapu langu amabalo halijai. Mkumbuke kuwa mimi na DA damdam; ni "watoto wa Shangazi na Mjomba wa Baba Mkubwa Kaka yake Babu na Baba Mdogo wangu, ambapo mimi nikiwa Mjukuu wa babu yangu na yeye Kilembwe kwa upande wa bibi wa Mkwe wake mumewe na shemeji wa binamu yetu".
 
:bange:Hii technolojia kiboko inagundua kila kitu!!:israel:
 
Dena kaenda kijijini kumsalimia
Bibi ndo maana yuko via mobile
na huu ni utani tu.. usichukulie
Kwa undani sana... samahani..
Thanks AD, i thought kuna jukwaa la utani which was more appropriate
 
Dena kaenda kijijini kumsalimia
Bibi ndo maana yuko via mobile
na huu ni utani tu.. usichukulie
Kwa undani sana... samahani..
Kwani hapa ndio Jukwaa la Jokes? si aipeleke huko kwenyewe?
 
Mimi sina hela ila nina ng'ombe wakutosha nitajitolea mmoja? na antivirus!
 
Ijumaa baada ya saa za kazi uje uchukue laki pale savanna
 
Kwani hapa ndio Jukwaa la Jokes? si aipeleke huko kwenyewe?
Naawe naye
Ok kakosea njia sasa tumfanyaje???
Waambie mods waihamishe..
Samahani. Lakini mimi nilikuwa namjibu
Mtu mwingine..
 
Naawe naye
Ok kakosea njia sasa tumfanyaje???
Waambie mods waihamishe..
Samahani. Lakini mimi nilikuwa namjibu
Mtu mwingine..
Mbona mnaishadadia kama kakosea jukwaa?
 

we wacha njaa zako huku kwenye forum
 

This is too much. :angry::angry:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…