Mchango huu wa David Silinde kuhusu mapendekezo ya Serikali kufuta Tume ya Mipango umenisikitisha sana na ningekuwa Dr.Mpango ningekaa pembeni

Serikali iko sahihi tume ya mipango kuifuta ilikuwa ujinga mtupu,Utakaaje chumbani unajifungia eti unapanga mipango wakati resources huna? resources ziko wizara ya fedha!!!! Hizo ni kupanga ndoto za alinacha!!!! Mipango ikiwa wizara ya fedha ndio sahihi kinachopangwa kinaangaliwa je resouces za ku finance huo mpango zipo? Sasa litume la mipango lilikuwa linapanga nini wakati pesa na Resources za kugharimia ziko wizara ya fedha?Ndio maana mipango mingi ilikuwa haitekelezeki walikuwa wakileta mipango hewa ya kufikirika ambayo wizara ya fedha haiwezi mudu kuhimili.Mipango inatakiwa iwe pale penye mwenye resources.Serikali kufuta wamefanya jambo la maana naunga mkono
 
Hoja za vijiweni
Huyu mtu wenu kila kitu kimeshamshinda na anakotupeleka siko na ndio kamati ya Bunge ya Bajeti majuzi imetaka kuwe na ukomo wa serikali kukopa kwa hofu mapato yote yatatumika kuhudumia deni la Taifa.

No wonder hata mpango wa Taifa umeshindwa kutekelezeka kwasababu mapato yameshuka na haa ni maneno ya waziri wa fedha Bungeni na si mtu mwingine.
 
Serikali iko sahihi tume ya mipango kuifuta ilikuwa ujinga mtupu,Utakaaje chumbani unajifungia eti unapanga mipango wakati resources huna? resources ziko wizara ya fedha!!!! Hizo ni kupanga ndoto za alinacha!!!! Mipango ikiwa wizara ya fedha ndio sahihi kinachopangwa kinaangaliwa je resouces za ku finance huo mpango zipo? Sasa litume la mipango lilikuwa linapanga nini wakati pesa na Resources za kugharimia ziko wizara ya fedha?Ndio maana mipango mingi ilikuwa haitekelezeki walikuwa wakileta mipango hewa ya kufikirika ambayo wizara ya fedha haiwezi mudu kuhimili.Mipango inatakiwa iwe pale penye mwenye resources.Serikali kufuta wamefanya jambo la maana naunga mkono
Napendekeza na wizara zote zifutwe ili zihamishiwe wizara ya fedha,maana hizo wizara hazina fedha na mwenye fedha ni wizara ya fedha!
 
Na Bunge lifutwe kabisa matumizi apange huyo mtu wao maana anataka anachopanga yeye ndio kitekelezwe na kisipingwe wala kuhojiwa na wabunge.
 
Napendekeza na wizara zote zifutwe ili zihamishiwe wizara ya fedha,maana hizo wizara hazina fedha na mwenye fedha ni wizara ya fedha!
Wizara ni vitengo vya utekelezaji wa mipango na bajeti ya serikali huwezi sema vifutwe!!!!! Mipango na bajeti vikishatengenezwa majukumu ya utekelezaji hupewa vitengo vinavyoitwa wizara nk
 
Wizara huwa zinapanga bajeti zao,sasa wanapangaje wakati hawana fedha?Tuzofute tu ibaki wizara ya fedha ambayo ndiyo ina fedha!
Niko najaribu kukuonesha ujinga wako!
 
Wameanza kumchoka, sasa hawataki hata uwaziri wake wanatafuta njia ya kutumbuliwa wakaendelee na mambo mengine
 
Wizara huwa zinapanga bajeti zao,sasa wanapangaje wakati hawana fedha?Tuzofute tu ibaki wizara ya fedha ambayo ndiyo ina fedha!
Niko najaribu kukuonesha ujinga wako!
Huelewi bajeti inavyopangwa.Wizara ya fedha inapanga mipango na kujua mapato yatakuwa kiasi gani.Wakishajua mfano Resource ya mapato itakuwa mfano milioni 100 .Kisha hizo pesa hugawiwa kwa wizara.Mfano wizara hupewa fungu mfano la milioni 20 sasa hapo wizara ndio hupanga bajeti yake based on hizo resources za milioni 20 walizogawiwa kama fungu la kupanga bajeti zao za kutekeleza kile walichopangiwa kwenye mpango wa serikali
 
Hofu tu ya kuogopa kuachia huo uwaziri, lakini ni kwamba anatamani atumbuliwe hata leo..mtu haheshimu matamko ya mwaziri wake, hataki ushauri sijui hata baraza la mawaziri ameliweka la nini wakati kila kitu anataka atoe yeye suluhisho.
 
Back
Top Bottom