Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Lilipowekwa bandiko hapa JF lihusulo tetesi za wewe na wengineo kuvuliwa uanachama wa BAVICHA na CHADEMA,ulikurupuka kwa nguvu ya kimbunga kuja kukanusha uliouita upotoshaji. Ukajidai kujenga hoja eti kwamba wewe hukuwa mwanachama wa BAVICHA hivyobasi huwezi kufukuzwa uanachama wa BAVICHA wala wa CHADEMA.
Hoja yako nyingine ni kuwa BAVICHA hawana mamlaka ya kukufukuza/kukuvua uanachama. Sasa,imetoka taarifa rasmi ya BAVICHA inayokuvua uanachama wewe Mchange, Juliana Shonza na Mtela Mwampamba.
Ndugu yangu Mchange,tumia kasi ile ile kutumia taratibu halali za chama kujenga hoja zako. Usichelewe.Matatizo yako Mchange ni haya:unadhani kuwa u maarufu,una Jimbo,unalindwa,mfuata kanuni na Katiba,ni mjenga hoja mzuri na mwenye misimamo mikali. Hizo ni dhana tu ndugu...hazina ukweli wowote.
Jitokeze sasa na hoja zako