Christopher H.Bomola
Member
- Nov 10, 2014
- 48
- 19
Mwaka huu hauzi...??
ACT Wasaliti mnalo mwaka huu.Hicho kikundi chenu hakiwezi kupata mbunge zaidi ya mmoja. Kwa Hali ilivyo Ayatullah tu ndiyo ataingia bungeni. Mnaweza mkapata madiwani wawili au watatu kigoma Mjini lakini kwingineko msahau kabisa.Mchange alifungua kesi ya kupinga kikiukwa kwa taratibu za uchaguzi Ndani ya Jimbo la kibaha chadema wakashindwa kumuwekea dhamana ya 15m mahakamani.
Chadema wakasababisha Mchange ashindwe kesi.
Waliouza kibaha ni chadema maana aliyeshinda ni mchaga mwenzao anaitwa Koka anatoka kijiji kimoja na ndesamburo na nyumba za wakazi wa Komu na Koka zinatazamana huko kijijini kwao.
Mchange huyu anayema uongo mbele ya uma! Huyu ni mwongo sana na ni mnafki kupita kiasi, Anadiriki kuudanganya uma kwamba alikua anapanga mauaji na Chadema wakati alipokua mwanachama wa Chama hicho. Watu wajanja wajanja wa mtaani hawatakiwi kwenye uongozi! Huyu ni mchumia tumbo tunamjua hawezi kua mtetezi wa wananchi.Kwanza alishawahi kumkosea Mungu sana kusema Uongo kua alikua akipanga mauaji na viongozi wa Chadema na ndio maana hata polisi hawakutaka kupoteza muda kuchunguza kaulizake.
Uko sawa kaka . viongozi waongo na wasaliti hawana nia ya dhati kutuletea ukombozi . he is a reject