Mchanganuo wa zawadi za fedha kwa Timu za Ligi Kuu NBC 2024/2025: Mambo yanaweza kubadilika kwa Yanga na Simba

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mchangauo wa zawadi za fedha kwa timu shiriki za Ligi Kuu ya NBC - Tanzania Bara kwa msimu wa 2024/2025, ambapo kila timu itapokea zawadi kulingana na nafasi iliyoishika kwenye msimamo wa mwisho wa Ligi. Mambo yanaweza kubadilika kwa Yanga na Simba endapo mchezo wa jioni ya leo Simba akishinda mbele ya Yanga.

Timu Zilizopata Zawadi Kubwa:

1. Young Africans SC (Yanga) – TSh 650,000,000.
2. Simba SC – TSh 300,000,000.

3. Azam FC – TSh 250,000,000.

Timu za Kati:

4. Singida BS – TSh 200,000,000
5. Tabora United – TSh 100,000,000
6. JKT Tanzania – TSh 90,000,000
7. Mashujaa FC – TSh 80,000,000
8. Coastal Union – TSh 70,000,000
9. Namungo FC – TSh 60,000,000
10. KMC – TSh 50,000,000
11. Pamba SC – TSh 45,000,000
12. Dodoma Jiji – TSh 40,000,000
13. Tanzania Prisons – TSh 35,000,000
14. Fountain Gate FC – TSh 30,000,000

Timu Zisizopokea Zawadi:

15. Kagera Sugar – Hakuna fedha iliyotajwa.
16. Kengold – Hakuna kiasi kilichoonyeshwa.

Screenshot 2025-06-25 151436.png
 
Mdhamini mkuu wa ligi ambae ni NBC anatoa zawadi ndogo kuliko Azam Tv ambae anatoa zawadi kwa timu 14 za ligi? Watalamu hii imekaaje?
 
Hii jambo hua nalishangaa sana, NBC anakuwa pale n kama mtazamaji tuu ili atangaziwe biashara yake.
Ila maybe Kwa sababu azam anaonyesha pekee yake ndo mana anatoa pesa nyingi kuliko mdhamini mkuu.
Kwani azamtv anatoa kiasi gani?
NBC anatoa 150+M kwa bingwa
Na pesa zinapungua kulingana na nafasi ya timu kushika nafasi husika.

Azam anatoa 500M+ Kwa bimgwa
Na Pesa zinapungua kulingana na nafasi ya timu kushika nafasi husika.

Msimu uliopita kila timu zimepokea pesa hata zile zilizoshuka daraja, Sasa cjajua kwann hizo nyngn hazijaandikiwa pesa walizopokea

Na bado hapo azam wanatoa 50M kila mwezi kwa kila timu
 
Kuna jambo huwa najiuliza, hivi timu zinapataje faida kwenye mpira. Mfano yanga saii bajeti kwa msimu huu bil. 30+, lakini pesa za ligi hazifiki hata robo yake. Kuhusu jezi sijui lakini huwa naona kama vile timu zinaendeshwa kwa hasa vile. Hebu nipe somo mkuu.
 
Faida ipo sana mkuu, mana kuna pesa nyingi wanapokea kuachana na pesa za ligi.

Hapo mchawi mkubwa n 👇
1. Wingi wa mashindano
Kutokana na wingi wa mashindano hapo ndo kwenye kila kitu mana utauza tiketi, utauza jezi ili watu waje nazo kwenye mechi, hapa ndipo wachezaji wako wataonekana nje na kuwauza, kuchukua ubingwa, matangazo kuwa mengi.

Kwenye hiyo namba moja imebeba faida nyingi ila bado zinaweza kujigawa zenyewe kwa zenyewe kama ifuatavyo kwa uchache.

1. Kuuza tiketi
2. Kuuza jezi
3. Kuuza wachezaji
4. Faida kutokana na kucheza mashindano mbalimbali.
5. Kuna makampuni yanakuja kujitangaza kulingana na aina ya mashindano uliopo, kwa mfano kuna watu wanasema Chelsea msimu uliopita hakuwa na sponsor mana hakuwepo UCL, so unaweza kuona namna ukiwa kwenye mashindano fulani ndio unapata sponsor na zote hizo n pesa.
6. Bado unaweza kupata favor kutoka serikalini au mashirika binafsi, mfano ile Yanga kuchangia pesa kwa ccm nayo n akili mana ame-target kupata faida fulani japokuwa watu wanawapinga
 
Kuna jambo huwa najiuliza, hivi timu zinapataje faida kwenye mpira. Mfano yanga saii bajeti kwa msimu huu bil. 30+, lakini pesa za ligi hazifiki hata robo yake. Kuhusu jezi sijui lakini huwa naona kama vile timu zinaendeshwa kwa hasa vile. Hebu nipe somo mkuu.
Mpira wa bongo unaendeshwa kwa sababu za kisiasa zaidi kuliko biashara. N andio maana unaona kuna yale makundi ya kujiita FRIENDS, nahisi wanapitisha ruzuku za serikalini kwenda simba na yanga.
 
huenda ni hivyo lakini maelezo ya jamaa hapo juu nimeyaelewa zaidi. Inaonekana Simba na Yanga ndio zenye faida zaidi kwani mashabiki {kuuza jezi,tiketi} wanawafaidisha, wadhamini wengi wanawakimbilia, na pesa za kimatafa pia zinawabeba.
 
Back
Top Bottom