kwanza ujue unapoandika business plan ni hatua ya mwisho, inatakiwa uanze na vipande vipande (sub parts) then mwishoni unaanza kuunganisha kimoja baada ya kingine ili mwisho wa siku kupata bigger picture.
anza kuchanganua bidhaa peke yake kwa maana wapi utapata, bei ya unit unadhani utachukua kiasi gani kwa njia ipi je zipo njia ngapi. hasara gani zinaweza kutokea kwa kila njia je utaepuka vipi kwa style ya maswali na majibu kidogo kidogo unajikuta frame work au skeleton inaanza kuchukua sura, halafu pitisha kwenye analysis mbalimbali kama SWOT, na zingine, fanya risk assessment ya kila altenative, then hamia kwenye masoko pia fanaya the same and utunze kumbukumbu, ukimaliza nenda kwenye ushindani, competition na uone ni mwanya upi upo na kila mwanya mazuri yake na machungu yake. ukimaliza vyanzo vya mtaji. hivyo hivyo then unaanza kufanya compilation. ni rahisi sana na huhitaji kumpa mtu akutengenezee BP kwani mara nyinig hizi kazi za kutengenezewa huwa sio realistic katika implementation na zitakukatisha tamaa zaidi ya wewe mwnyewe unaye weza kufanaya hadi imagination ya hali halisi kulingana na business setting yako jinsi unavyoiona. then generate budget kwa kila ki - sub part. halafu ukisha maliza hapo sasa anza kuandika vitu kama intorduction, objectives, na vinginevyo including conclusion, wakati unaandika rasmi kila kitu ndo sasa unaingiza zile drafts zako ulizo andaa kwa kila kipengele. ila mzee ukianzia moja kwa moja kuandika mwanzo mwisho utadhani unayo mezani unaoisoma jua kabisa hautatoka na itakuboa.
Ok sahihi, kams una wazo huwezi kushindwa kusndika BP.
Vitu muhimu ni
1. Product au service ambazo utauza sokoni. Kama una aidia ya biashara lazima unajua huduma au bidhaa unazotaka kuuza.
3. Kama unataka kutengeneza bidhaa au huduma angali unahitaji nini na nini ili kuweza kufanikisha utengenezsji wa hiyi bidhaa au huduma. Kwanza angalia investment costs kama mitambo na equipment nyingine zinaitwa capital expenditure. ziwekee bei.
3. Angalia malighafi na gharama zingine ambazo ni recurring. Zinaitwa operational costs. Kuna vitu kama mishahara, usafiri, pango etc. Zipe figure.
4.Calculate gharama za uzalishaji kwa unit moja. Angalia uwezo wa uzalishaji kwa siku, wiki, mwezi, mwaka.
5. Panga bei ya unit, angalia kama bei hiyo ni realistic.
6. Angalia ni namna gani utapata soko. Mbinu gani utatumia.
7. Angalia washindani wako ni kina nani. Angalia weekness zao na stregth zao as compared to your products.
8. Angalia mbinu gani utatumia kushindana nao. Cha msingi ni kuandika kila kitu kwabuhalusia wake ili meidho wa siku ujue kama wazo lako ni feasible au la.
Ukiandikiwa business plan utashindwa kuitekeleza. Halafu utajiona una mkosi bure kumbe the plan itself haikuwa na original thinking kutoka kwako.
Baada ya kuandaa skeleton ya hivyo vitu juu waweza kumtafuta mtaalamu wa biadhara akaiwrka kitaalamu, lakini hakikisha unajua kila kitu kilichoandikwa as per ur thinking.