Nice to hear that!
I will soon need this.
Bei zao ndio msala....
Nyie watu mko expensive sana nawajua vizuri, labda kama mmeamua kupunguza bei zenu na promotion unazosema. proposal ya 100 million hujui nitapata au la wewe unataka 20% on the spot bila huruma.

Nimegeuza gari njiani nilikuwa nakwenda huko,kwa 20% sisi wajasiriamali wadogo si ndo basi tena!!
Jamani basi hata themes za websites zenu ziendane na kile mnachofanya.
ZAKUMI,
tutashukuru kupata feedback zako kama umeona dosari yeyote kwenye website ama kwenye huduma zetu unaweza wasiliana nasi moja kwa moja info@gmconsultz.com ama unaweza kutupm ama hata ukiandika hapa we are read to be criticized, educated and hata kupongezwa. Karibu kwa maoni yako
Jamani wana jamvi wezangu naombeni mawazo yenu. Tuko vijana wawili tunataka kuanzisha kiji kiwanda cha kukamua mafuta ya alizet mkoani Dodoma. Tulipo fikia ni kwamba tunajua bei za machine ambazo zinaitajika pamoja na bei zake. je kuna mtu ana some experiance juu ya maswala haya ili tuweze kujuzana na tupate mwangaza.
Tulifika SIDO Dar es salaam, wakatushuri, wakatupa pamoja na bei za machines. pia waliyupa ushauri unaotaka kufanana na wakwako ila wao walituambia twende Morogoro pia kuna viwanda vingi around SIDO. BTW ahsante kwa ushuri.
Jamani wana jamvi wezangu naombeni mawazo yenu. Tuko vijana wawili tunataka kuanzisha kiji kiwanda cha kukamua mafuta ya alizet mkoani Dodoma. Tulipo fikia ni kwamba tunajua bei za machine ambazo zinaitajika pamoja na bei zake. je kuna mtu ana some experiance juu ya maswala haya ili tuweze kujuzana na tupate mwangaza.
Mkuu Nashukuru sana kwa msaada wako hasa katika link ambayo umenipatia.Mkuu hongera, mimi niko kwenye biashara ya alizeti tayari. Je unataka business plan ili ukope au ni kwa ajiri ya upembuzi yakinifu ktk kutaka kujiridhisha na kuona kuwa biashara inalipa?
Nakushauri usome website hii: www.entrepreneurmag.co.za
Watakusaidia sana katika kuandaa huo mchanganuo na vitu vingine vingi
Mkuu Nashukuru sana kwa msaada wako hasa katika link ambayo umenipatia.
Hata mimi niko kwenye biashara ya mafuta ya alizeti, lakini ni kwa level ya uuzaji wa rejareja. tumekua tukichukua mafuta viwandani Dodoma kwa jumla kuanzia dumu 50 na kuyapaki upya kwenye vyombo vya lita moja na lita tano na kuyauza hapa mjini Dar. lakini kila tukienda kuchukua mafuta nimekua nikitamani sana ku grow katika hii industry hata nikafikia hatua ya kumiliki kiwanda na kuanza kukamua mwenyewe kwani kule viwndani bei zao haziko stable. Elimu yangu ni kidato cha sita sina uzoefu sana katika kuandaa na kuandika mchanganuo ndo maana nimejitokeza ili niweze kupata mwanga kwa ambao mna uzoefu juu ya maswala kama hayo. ili nijiandae kutafuta source of funds. -Ahsanteni