Mchakato wa kumpata Waziri Mkuu

Mchezo ndiyo unaanza kiongozi. Ccm haina muadilifu!. Ndiyo maana maigizo ya mahakama ya mafisadi yamfika mwisho na sasa mafisadi ndiyo yanapewa nafasi ya kusimamia uchaguzi wa speaker. Siyo utani.


Ngoma bado mbichi. Tujifurahisheni kwa sinema hii fupi wakati wa break!.
 
Leo wameniuzi hawa ccm lijitu lina hasira sana ndio limepewa "usupika"
 
Job Ndugai speaker???.. Ngoja hii bunge movie iendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…