Mchakato wa gesi na mafuta utata mtupu

Mchakato wa gesi na mafuta utata mtupu

MWAKATA KWETU

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
560
Reaction score
320
Wanayoyafanya serikali ya ccm,inaniumiza sana toka moyoni kwani kitendo cha serikali ya ccm kujaribu kuleta miswada ya dharura minne kinyemela hii ni kulihujumu taifa.nazidi kusema kura yangu wamepoteza moja kwa moja kupitia sakata hili.makinda na hao waliomtuma kudhibiti wapinzani bungeni ili kulinda ufisadi wao ....tumeliona hilo na wajue kwamba vijana wa tanzania tumejipanga kuing'oa ccm.
 
Na tumepania, kukusudia na tuna Nia kukitoa chama cha Wezi
 
Waache wajimwae mwae tu humo bungeni lakini suluhisho ni 25 octoba.
 
Jibu Tunalo Watanzania tarehe 25/10/2015. Hakuna sababu ya Kuendelea Kulia lia; Sasa ifike mahala Tuseme Hapana kwa CCM. Ni ushenzi ni uhuni Mkubwa.
Tumeumia Sana Kwenye Madini na Leo Tunafungiwa Mbuzi Kwenye Gunia. Mungu anakwenda Kutenda Kitu na CCM lazima Ing'oke
 
namshangaa huyu mbunge Chilolo hakuna alichochangia zaidi ya kuwalaumu wapinzani na kusema eti mswada yote ni mizuri anaunga mkono na ameshangiliwa sana. hao ndio wabunge wa ccm
 
Range nae anamsifu spika kwa ujasiri wake na kuwalaumu wapinzani na kusifia kwamba kuna wanasheria fulani wameusifia huo mswada kwa hiyo anaunga mkono. kama kawaida wamemshangilia sana, hao ndio wabunge wetu wa ccm
 
ni dhahiri mwenyezi Mungu anawafungua wananchi uelewa wao ili kupigania maslahi yao kupitia masuala haya yanayofanywa kinyume na haya maccm,hvyo wananch wafunguke na kupinga mambo dhalimu .
 
Sema Ume...jipanga siyo Tu...
Ww sio tank thinker wa vijana kila mtu kwa democracy iliyopo nchin anao uhuru wa kuamua
Ukiwa
 
Back
Top Bottom