M Mpombote JF-Expert Member Joined Dec 19, 2017 Posts 1,944 Reaction score 1,504 Jul 26, 2019 #1 Fununu, Kuhusu Mchakato mzima Wa Ajira za TANESCO kuanza kusimamiwa na PSRS. Mwenye Taarifa zaidi ataweka au Marekebisho Ataongezea. Attachments UTARATIBU MPYA WA AJIRA ZA KUDUMU NA ZA MUDA MAALUM0001-1.pdf UTARATIBU MPYA WA AJIRA ZA KUDUMU NA ZA MUDA MAALUM0001-1.pdf 881.1 KB · Views: 61
Fununu, Kuhusu Mchakato mzima Wa Ajira za TANESCO kuanza kusimamiwa na PSRS. Mwenye Taarifa zaidi ataweka au Marekebisho Ataongezea.
Masalu Jacob JF-Expert Member Joined Jul 26, 2017 Posts 1,439 Reaction score 1,645 Jul 26, 2019 #2 Kwangaru
dojonase JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 1,728 Reaction score 2,398 Jul 26, 2019 #3 Iwe ivi tu tujue moja
S shinyanga town Senior Member Joined May 25, 2015 Posts 125 Reaction score 99 Jul 26, 2019 #4 Saaaaaaaaaaaafiiiii sanaaaaaaaaaaaaaaa
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,634 Jul 26, 2019 #5 Itakuwa poa sana wakifanya ivyo,na ninaomba huo mchakato uanze mapema mpaka kwenye mamlaka zile za majitaka na majisafi ya miji
Itakuwa poa sana wakifanya ivyo,na ninaomba huo mchakato uanze mapema mpaka kwenye mamlaka zile za majitaka na majisafi ya miji
GRAPHICS DESIGN Senior Member Joined May 28, 2014 Posts 103 Reaction score 39 Jul 31, 2019 #6 Bora iwe hivi ingawa huko nako kuna changamoto zake. Mpombote said: Fununu, Kuhusu Mchakato mzima Wa Ajira za TANESCO kuanza kusimamiwa na PSRS. Mwenye Taarifa zaidi ataweka au Marekebisho Ataongezea. Click to expand...
Bora iwe hivi ingawa huko nako kuna changamoto zake. Mpombote said: Fununu, Kuhusu Mchakato mzima Wa Ajira za TANESCO kuanza kusimamiwa na PSRS. Mwenye Taarifa zaidi ataweka au Marekebisho Ataongezea. Click to expand...