1000 Words,
Hapo pia picha inasema simu zimezubaisha wengi wasiweze kuona kinachotokea upande wa pili(Upande wa juu)..kuna mmoja amesimama kama anatengeneza kitu ...na mwingine ana- lawnmower=(Apps & games,Socialnetworks) za kwenye simu zinazozubaisha wengi wasigundue kitu.
View attachment 2581855