MCHAKAMCHAKA 2015 kigogo leo.

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
anayeongea sasa hivi ni mgeni wa heshima Mahinda saburi Mahinda, anaanza na kusema SLAA sio mpinzani, aliondoka CCM kufuata cheo, kwani 1995 alimshinda Padri kikoyo kura za maoni ndani ya CCM, kamati kuu ilipomuengua akahamia CDM, lengo lake ni cheo mheshimiwa, pia hoja zote za ufisadi ziliasisiwa na Prof Lipumba, Wizi BOT, NDEGE YA RAIS, RADA yote haya yaliasisiwa na Prof Lipumba, anasema kuwa MTEI mwasisi wa chadema ni Fisadi mkubwa aliyefirisi BOT mwaka 1979 ambapo alikuwa GAVANA. Mkutanoni watu ni wengi sana na anawashika watu kweli kweli, anaielezea safu nzima ya Walioiasisi chadema. MKT-MTEI, makamu mwenyekiti- Ally nyange makani, katibu mkuu Brown ngwilulupi na Naibu katibu mkuu Edward Barongo, wakuu hotuba ni nzuri leo inanyanyambuliwa chadema
 
Na bora umejua kuwa huyo alieongea ni "mgeni wa heshima" which means hana adabu. Yangeongelewa na mgeni rasmi ningekuwa na cha kukitolea maoni! Eti Mtei alifilisi BOT, lini BOT ilitangazwa kufilisika? Anajua maana ya kufilisika?
 
anasema vilipoisha vita vya uganda nyerere alitaka kujua balance imebaki ngapi? mtei akajibu hakuna kitu, ndipo nyerere akamtaka kujiuzuru, mtei alimwambia kuwa ukisema nami nitasema lengo la vita vya uganda lilikuwa nini, alipojiuzuru, Nyerere akamteua kuwa mjumbe UN kwa miaka 4.
 
Huyu mtei kweli ni fisadi mkubwa amefilisi BOT leo ni tajiri mkubwa na amejenga mahoteli makubwa ya kitalii huko kilimanjaro.
 
Kwa hiyo mgeni rasmi kazi yake kubwa ni kuipinga Chadema tu na wala sio magamba tena au kwavile wanefunga nao ndoa? Cuf is nothing but just piece of bull shit na kila kukicha kinazidi kupoteza mvuto mbele ya wanainchi na ndoa walio funga na ccm itawacost sana this time around. Because they have nothing new to tell the people who had trusted them more especialy in the highlands of Zanzibar and Pemba.
 
anasema vilipoisha vita vya uganda nyerere alitaka kujua balance imebaki ngapi? mtei akajibu hakuna kitu, ndipo nyerere akamtaka kujiuzuru, mtei alimwambia kuwa ukisema nami nitasema lengo la vita vya uganda lilikuwa nini, alipojiuzuru, Nyerere akamteua kuwa mjumbe UN kwa miaka 4.

Nikujulishe u.p.u.m.bavu wako:
1. Hakuna mjumbe binafsi UN, wajumbe wa UN wote ni nchi zinazojitawala.
2. Nyerere hajawahi kuwa na mamlaka ya kuteua wajumbe wa UN.
3. Mzee Mtei alijiuzulu uwaziri wa fedha si ugavana wa benki kuu.

Hujui unalolisema!
 
Huyu mtei kweli ni fisadi mkubwa amefilisi BOT leo ni tajiri mkubwa na amejenga mahoteli makubwa ya kitalii huko kilimanjaro.
BOT haijawahi kufilisika, Slaa mwaka 1995 kwenye kura za maoni alimshinda Patric Qoro na sio padri ilo jina sijui mmelitoa wapi?
 
Na bora umejua kuwa huyo alieongea ni "mgeni wa heshima" which means hana adabu. Yangeongelewa na mgeni rasmi ningekuwa na cha kukitolea maoni! Eti Mtei alifilisi BOT, lini BOT ilitangazwa kufilisika? Anajua maana ya kufilisika?

yah,kama alifilisi BOT serikali ya chama tawala ilichukua hatua gani? Wananchi wa tz naona siku hizi tumegeuka midoli hatusikii wala hatuoni...!
 
huyu mtei kweli ni fisadi mkubwa amefilisi bot leo ni tajiri mkubwa na amejenga mahoteli makubwa ya kitalii huko kilimanjaro.
nakuuliza kwa heshima na taadhima, nyinyi chanzo hasa cha kufanya kampeni zenu ni kuwatetea watanzania maskini wanaokufa kwa kukosa huduma bora zilisabisha na serikali iliyopo madarakani , au lengo lenu ni kuiponda cdm kwa sababu ndio inayoongoza nchi, au lengo lenu ni lipi??? Kaka tumia akili zako kufikiri kama mtu mzima siyo unatumiaka tu kama kondomu, ulishawa kusikia cdm wanaisema cuf... Cuf mnashida sana na mnazidi kupotea katika siasa hizi kwa mambo yenu ya kuishambulia chadema mmesahau kama mliwahi kusababisha mauaji zaidi ya watu 50 wakafa zenji, leo mmnaona mpambanane na cdm utadhani ndio wanaoongoza nchi, jifunze hekima kijana
 
mi napita mwayego. sitaki kujadili mambo ya mke wa mtu kabisaaa.
 
mgeni wa hesima huyu ni mtu makini sana, kimsingi nimemkubali! toka lini mtu akamsema vibaya mwenzi wake? ama mtu huyo ni chizi au hana chembe ya aibu. Mwenzi akikojoa kitandani anasingiziwa mtoto, kama hakuna mtoto basi nyumba inavuja. Mwacheni mwandani huyu amsifie mwenye nyumba wake asijevunja ndoa yake bure kwa kutoa siri.
 
Huyu mtei kweli ni fisadi mkubwa amefilisi BOT leo ni tajiri mkubwa na amejenga mahoteli makubwa ya kitalii huko kilimanjaro.

Hapo mtei katenda kosa kubwa, kajenga mahoteli hapahapa Tz? Alitakiwa apeleke hela kule New Jersey na Uswiss kama wafilisi wenzie.
 
nakuuliza kwa heshima na taadhima, nyinyi chanzo hasa cha kufanya kampeni zenu ni kuwatetea watanzania maskini wanaokufa kwa kukosa huduma bora zilisabisha na serikali iliyopo madarakani , au lengo lenu ni kuiponda cdm kwa sababu ndio inayoongoza nchi, au lengo lenu ni lipi??? Kaka tumia akili zako kufikiri kama mtu mzima siyo unatumiaka tu kama kondomu, ulishawa kusikia cdm wanaisema cuf... Cuf mnashida sana na mnazidi kupotea katika siasa hizi kwa mambo yenu ya kuishambulia chadema mmesahau kama mliwahi kusababisha mauaji zaidi ya watu 50 wakafa zenji, leo mmnaona mpambanane na cdm utadhani ndio wanaoongoza nchi, jifunze hekima kijana

big up mkuu!
 
Huu ndio ujinga wa cuf. Yale yale ya kuwadanganya watu msikitini kwa kuwa hawajui kiarabu sasa yamehamia siasani kwa vile watz hawajui historia ya nchi yao? Ni k weli?Kazi kweli kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom