Voice of Mara
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 358
- 127
Kigera ni wapi mkubwa?
Push up kwa.....
Vijana wa IT masaki wamekata tamaa kabisa nadhanj baadhi yao washaenda ukawa tayari waana wamesoma nyakati
mkuu hakuna sehmu yeyote duniani nguvu ya umma ilishawahi kushindwa ccm wajuwe kabisa red card imesha nyooshwa juu na tume sasa pindua pindua zile zao watahama hii nchi bila kutegemea tunalinda kura zetu tunatangaza mshindi kituoni tunaweka record wa speed ya jumbo jet ole waoHahaha vijana wa JM , IT-MASAKI sasa hivi hawana hamu kabisa.
Usicheze na Jeshi la kujitolea.