ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
bora mlivyonipa utunza hazina ndo sekta yangu hiyo naahidi sitowaangusha.
Afu hapa naona kama vile hawachagui umeshawachagulia
Samahani amu, nimepoteza no yako swirry em nibeep! Kuna zile bangili zako ulisahau kwangu
mimi mbona sina imani na mtunza hazina!!
khaaaa shika adabu yako wewe natembea nalalana na watu waliokuwa matured.
Jaribu tena.
mimi mbona sina imani na mtunza hazina!!
kama mimi vile............. na wengine
umeona eee yani shavu dogo
wewe tena tukutane chako ni chako nikupige kuku wa foil lazima imani itakuja
una la kwako wewe...........
hewaaa low profile wewe tu hao wengine wanajisakzia
ulitaka niwe na la kwako linanihusu?
bora mlivyonipa utunza hazina ndo sekta yangu hiyo naahidi sitowaangusha.
Afu hapa naona kama vile hawachagui umeshawachagulia
na mimi nakupa hongera............tutajie majukumu yako tuyajue best