Mchaga na Pilau! duh!

Mchaga na Pilau! duh!

hii ya ganja kwa chakula imekaa njema, yaani unashiba huku unapata stimu..!
 
Haichekeshi! wachagga sio washamba hivyo!

kwani kutokujua kula pilau ni ushamba??!!!mbona unaukubali unyonge kirahisi namna hiyo...wachagga kweli hawajui kula pilau hata chapati lakini sio washamba,hawajui tu kula vyakuka hivyo!
 
wachagga asiwadanganye mtu nyie mko juu kwa upande wa maendeleo...acheni watu wawatanie
 
Back
Top Bottom