Mchaga na Mbuzi (Ndafu)



Picha hii kwa baadhi ya watu haileti dhana nzuri kwa maana kwamba inaonyesha dalili ya udhalilishaji wa wanyama. Ulimwengu wa leo ambao unajali haki za wanyama kitendo cha machinjo ya wanyama si cha kuweka hadharani kiasi hicyo na kukifanyia kama mchezo wa kuigiza.

Tuweni watu waliostaarabika pamoja na kwamba tunafurahia kula nyama ya wanyama hawa (nyama choma). Vijijini ambako falsafa hii haijaeleweka tunahitaji kuwafunda kwani tunahitaji kukua pamoja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…