jamaa mmoja alimpa mimba mtoto wa mchaga,yule jamaa akaenda kwa baba wa msichana akamwambia "mzee bint yako akijifungua mtoto wa kiume nakupa milioni 700 pamoja na ng'ombe,bt akijifungua wa kike nakupa milion 500. je asipo jifungua yan mimba ikitoka ww utanipa nn?.mchaga akajibu utampa tena mimba nyingne.