The navi 2
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 352
- 46
Kumtema moyo unauma sana maana kanifia kabisa
kuwa na msimamo kama mnapendana ndugu hawawezi kuzuia upendo wenu
mazishi unafanya wapi mkuu tuje kuweka matanga?
Ukishawakubalia hao ndugu zako na jamaa zako.. Watakuambia upambane umnyang'anye Diamond Wema Sepetu.UMUOE... na ukishindwa hapo, wanavunja urafiki na undugu wenu.
kazi kwako
mazishi unafanya wapi mkuu tuje kuweka matanga?
Kua na msimamo wewe!kwa hyo huyo mke ni wako au wa rafiki zako/ndugu zako?
Stuff mwenzetu siku moja alituhadithia jinsi alivyokuwa na wakati mgumu ilipojulikana anataka kuoa mchaga...
Anasema alipata mashinikizo ya kila aina kutoka kwa ndugu na jamaa ya kuachana na huyo mwanamke kisa ni mchaga lakini anasema aliziba masikio walipoona ameamua kuoa kwelibwakamwambia ahakikishe mwanamke hajui mambo yake hata salary slip yake asiijue ....jamaa anasema alioa na wakaishi vizuri na mkewe na akawa ni mchakarikaji wa kutafuta pesa mambo yakakaa kwenye mstari na sasa mke wake amekuwa kipenzi kwa ndugu zake kwa jinsi anavyojitolea kuwasaidia
Usisikilize maneno ya watu. Unaweza ukapata mpare na ukasahau nyumbani vile vile.
Mi ntagharamia jeneza.
hahahahahaha. unataka umuowe kweli? umejandaa kuowa? unayo mahari ya kulipa? umemaliza shule?
umemuongelea tu yeye kuwa anakupenda anakupa 0713, lakini haujasema wewe kama unampenda au unamtamani tu! chukua kitu cha kichaga hicho babu, rombooooo...daadek!
namaanisha ananipenda sana
nampenda sana lakini wengi wananipa wasiwasi kuhusu huyu