Mch Temba Alphonce nabii wa uongo Zambia

MchALIPHONCE TEMBA NI MPIGA DEBE WA CCM NA ALITIMULIWA UDSM BAADA YA KUPINGA MABADILIKO YA KATIBA NA KUPINGA MAANDAMANO YA CDM UKIMBI WA NKURUMA MWAKA HUU. Temba Ndiye alikuwa mpiga Debe wa Kikwete na aliitwa Dododoma na Yusuma Makamba akamkabidh Jk bible na kumuhakikishia ushindi kabla hajachakachua kura.Baadaye aliungana na Mch Rwakatare na kusema Jk chaguo la Mungu.Mch Tembe ndiye aliyehamasisha watu kuiunga na Deci na ni mpiga debe wa Babu loliöndo

Watasema Bwana Bwana,hatukuponya wagonjwa na kutoa pepo kwa jina lako?Ndipo nitakapo waambia,siwajui ninyi,ondokeni kwangu ninyi mtendao maovu.
 
Kwa mtazamo wa haraka sana,una hasira na Temba (inawezekanammehitilafiana pahala). Hebu jipange uandike kitu cha kueleweka. Contents zako ziendane na heading na kisha uwe specific ktk madai yako.
Ulivyoandika ni kama vile unasikia watu wanaongea nyumba ya jirani na kisha wewe unaandika. Hii siyo style ya JF.
Halafu just a point of caution,kabla hujasema watu wa Mungu,jihoji kwanza na uhoji facts zako. Ni ushauri tu ndugu............
 
jamaa ni mhanga wa deci
 
Back
Top Bottom