Mch. Peter Msigwa akiwa kijana

Mch. Peter Msigwa akiwa kijana

Huyu jamaa kelele zake zoote hajawahi kumtukana Mh. Rais kama mataila mengine ya upinzani, nilikuja kugundua sababu ya adabu hii ni kuwa hawa jamaa ni ndugu hahahaaaa wazazi wazae watoto watuunganishe hakuna adui kwenye undugu.
Ndio maana kuna mdau moja nilimwambia msigwa atakuwa mbunge wa mwisho kukuso ubunge labda yeye mwenyewe aseme hataki
 
True mkuu. Wanasiasa hawaeleweki hawa
Huyu jamaa nikikumbuka hotuba yake ya akili kubwa kutawala akili ndogo huwa namheshimu sana, ana akili kubwa sana, tuombe njaa zisiwabadilishe kama kina Kafulila
 
Ndio maana kuna mdau moja nilimwambia msigwa atakuwa mbunge wa mwisho kukuso ubunge labda yeye mwenyewe aseme hataki
True kabisa. Nimeishi iringa pale kwa miaka 4. Ukickia msigwa kashindwa ubunge pale basi kuna nguvu imetumika kupoka nafasi yake. Kwa kura haitakuja wezekana
 
Binadamu tunatokea mbali sana...

Usimkasirikie mtu akiwa anasheherekea na kufurahia mafanikio yake wakati uliyopo, hujui wakati uliopita kapitia mangapi magumu...



Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom