Mch. Peter Msigwa akiwa kijana

Mch. Peter Msigwa akiwa kijana

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
2,116
Reaction score
2,248
“Enzi hizo nikiuza mitumba (mantigo) miomboni iringa Mjini 1987!” https://t.co/NWmr0BjRTZ
IMG_20190719_154233.jpeg
 
Huyu jamaa kelele zake zoote hajawahi kumtukana Mh. Rais kama mataila mengine ya upinzani, nilikuja kugundua sababu ya adabu hii ni kuwa hawa jamaa ni ndugu hahahaaaa wazazi wazae watoto watuunganishe hakuna adui kwenye undugu.
 
Kumbe wakongwe wengi washavaa model,,hiyo jins chafu model mikato ya vijana wa kileo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom