Mch Msigwa avamiwa na vijana wenye mapanga -CCM watengeneza propaganda kuwa anagawa hela za bodaboda

Vijana wa CCM waliovalia kombati za chadema kuanzia wiki iliyopita wamekuwa wakipita na kugawa fedha kiasi cha shilingi 30,000 hadi 50,000 kwa vijana wenye pikipiki katika maeneo ya usa, tengeru na maji ya chai. Mpango huo wa kufitinisha ambao unaratibiwa na Mwigulu Nchemba inasemekana wamekuwa wakiwapa fedha hizo vijana wachache na hivyo kutia hasira kwa vijana wengine kuwa fedha zinatolewa kwa upendeleo na matokeo yake wenye pikipiki wengi wameanza kugoma kujitolea kama ilivyokuwa hapo awali.
Katika hila hiyo, ametajwa mhe msigwa kuwa ndiye mwenye fedha na kuwa vijana wote wenye bodaboda waende kumuona awapatie fedha jambo ambalo lilizua tafrani kubwa.

Sambamba na hilo, CCM wamekuwa wakitumia ujanja mwingine wa kutumia bendera ya chadema kufunga kwenye magari yao ili kuwavuta watu na kisha watu wakikusanyika ndio wanapojivua gamba na kusema wao ni CCM na hizo bendera wanaonyesha kuwa watu wamerudi CCM, kitu ambacho kilitafsiriwa na wenyeji wa meru kuwa ni mbinu ya kijinga.

Ukiwasikia ccm wanasema "Tutapambana" huwa wamemaanisha kurubuni, kudanganya, kupora, kutisha, kukwiba,. . . . . . . . . .
wanapambana kwani wao ndio wanapiga kura? mpiga kura ndiye hupambana kumpata mwakilishi wake!!!! this time watu wanajitambua na watawaonyesha nini maana ya kupambana.
 
Kama ndio wameishiwa sera namna hii basi wana hatari...nasema tena CCM ikishinda Arumeru natoa hofa ya kutembea uchi toka Ubungo Mataa mpaka Posta........
 
Tunataka Viongozi wa chadema watueleze kama hili ni kweli manake CCM wamjihalarishia kutawala kwa mabavu na njia rahisi ya kujinasua wananchi na maandamano ya kupiga uonevu huu nchi nzima na bila kikomo tukifa mamia kwa maelfu wale watakaobaki watarejesha nchi yetu kwenye mstari,hili timbwili sio la kudharau kabisa hawa wanataka kutuwekea hata mashoga kwa lazima ole wenu CCM chezeeni amani nchi hii itakapo ingia kwenye mgogoro wote mutakimbia
 
chadema sio wakati wa kulia lia. Hawa jamaa wanamwaga fedha ni kweli, msipoteze muda kuwapeleka polisi au takukuru chapeni, tandikeni wafanyieni uhuni maana sio wastaarabu kama mnavyodhani hata hivyo sio kwamba wana akili na ujanja sana. wanajifanya kuwahamasisha kampeni ziwe za kiustaarabu lakini washenzi sana hawa jamaa wataifanya hii nchi ifike mahali pabaya sana.
 
Mda Wa kumchapa Mwigulu umefika maana hata Igunga alianzisha rafu chafu Kama hizo.

QUOTE=UTANIPENDA;3509752]chadema sio wakati wa kulia lia. Hawa jamaa wanamwaga fedha ni kweli, msipoteze muda kuwapeleka polisi au takukuru chapeni, tandikeni wafanyieni uhuni maana sio wastaarabu kama mnavyodhani hata hivyo sio kwamba wana akili na ujanja sana. wanajifanya kuwahamasisha kampeni ziwe za kiustaarabu lakini washenzi sana hawa jamaa wataifanya hii nchi ifike mahali pabaya sana.[/QUOTE]
 
Vijana wa CCM waliovalia kombati za chadema kuanzia wiki iliyopita wamekuwa wakipita na kugawa fedha kiasi cha shilingi 30,000 hadi 50,000 kwa vijana wenye pikipiki katika maeneo ya usa, tengeru na maji ya chai. Mpango huo wa kufitinisha ambao unaratibiwa na Mwigulu Nchemba inasemekana wamekuwa wakiwapa fedha hizo vijana wachache na hivyo kutia hasira kwa vijana wengine kuwa fedha zinatolewa kwa upendeleo na matokeo yake wenye pikipiki wengi wameanza kugoma kujitolea kama ilivyokuwa hapo awali.
Katika hila hiyo, ametajwa mhe msigwa kuwa ndiye mwenye fedha na kuwa vijana wote wenye bodaboda waende kumuona awapatie fedha jambo ambalo lilizua tafrani kubwa.

Sambamba na hilo, CCM wamekuwa wakitumia ujanja mwingine wa kutumia bendera ya chadema kufunga kwenye magari yao ili kuwavuta watu na kisha watu wakikusanyika ndio wanapojivua gamba na kusema wao ni CCM na hizo bendera wanaonyesha kuwa watu wamerudi CCM, kitu ambacho kilitafsiriwa na wenyeji wa meru kuwa ni mbinu ya kijinga.

Jamani wana Arumeru Pesa chukueni hata kama anakupa nani lakini kura iwe ni siri ysko na wala usifanye makosa,,,,

Ni dhahiri kuwa CDM hawana pesa za kuwagawia watu ila CCM ambao pesa wanachukua kwa hao mabepari waliojimilikishia ardhi ya watu wa Meru ndio wanawaapa CCM pesa ili waendelee kuishikilia ardhi yene na hilo mtaliona kama mtafanya makosa kwa kuichagua CCM kwa mara nyingine,,,

Mungu ameona saa yenu ya ukombozi imewadia lakini angalieni vizuri shetani asije akawashikilia huko kwenye tabu nyingi ambako hakua haki wala hurum,,,

Wake up wana Arumeru Sioi ana harufu ya Kibepari na ndiyo maana hakikulia Meru na hana shida na wanameru ila anataka akakae Bungeni na kuendelea kula kuku huko duniani..

Make sure hakuna kufanya makosa.
 
Vijana wa CCM waliovalia kombati za chadema kuanzia wiki iliyopita wamekuwa wakipita na kugawa fedha kiasi cha shilingi 30,000 hadi 50,000 kwa vijana wenye pikipiki katika maeneo ya usa, tengeru na maji ya chai. Mpango huo wa kufitinisha ambao unaratibiwa na Mwigulu Nchemba inasemekana wamekuwa wakiwapa fedha hizo vijana wachache na hivyo kutia hasira kwa vijana wengine kuwa fedha zinatolewa kwa upendeleo na matokeo yake wenye pikipiki wengi wameanza kugoma kujitolea kama ilivyokuwa hapo awali.
Katika hila hiyo, ametajwa mhe msigwa kuwa ndiye mwenye fedha na kuwa vijana wote wenye bodaboda waende kumuona awapatie fedha jambo ambalo lilizua tafrani kubwa.

Sambamba na hilo, CCM wamekuwa wakitumia ujanja mwingine wa kutumia bendera ya chadema kufunga kwenye magari yao ili kuwavuta watu na kisha watu wakikusanyika ndio wanapojivua gamba na kusema wao ni CCM na hizo bendera wanaonyesha kuwa watu wamerudi CCM, kitu ambacho kilitafsiriwa na wenyeji wa meru kuwa ni mbinu ya kijinga.

Siasa hizi ni za hatari sana.
Propaganda hizi haziibomoi CHADEMA na kuijenga CCM, bali zinabomoa taswira na maadili yetu kama Taifa.
Huyu mtu anayeleta siasa za namna hii anapaswa kushughulikiwa.

Yaan tunashindwa kusimamia maadili na ukweli, kwa maslah ya muda mfupi tena ya kisiasa!? Nadhan umefika wakati wa kuwa na sheria zinazoregulate matamshi na vitendo vya wanasiasa (kama itasaidia)
 
Unajua magamba hawana jipya la kuwadanga wananchi, walilonalo ni kutumia njia za kishetani na uhuni uliopitiliza ili mradi wshinde.Jamani ndugu zangu wa Arumeru Mashariki, Nina imani kubwa na ninyi. Hebu ikataeni ccm (magamba) kwa vitendo kama kule mbeya. Hawana jipya zaidi ya kuwa wanafiki na waongo wakiongozwa za mkapa!
 
Back
Top Bottom