Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Mchungaji msaafu wa kanisa la KKT Dkt. Steven Kimondo amehoji kwamba kwanini kama chama cha mapinduzi kimekuwa kinasema wametekeleza mambo mengi na wanachama wengi je kwanini wanaogopa kufanya refoms?
Amesisitiza kuwa reforms hizo hazitokinufaisha chama kimoja tu.
Amesisitiza kuwa reforms hizo hazitokinufaisha chama kimoja tu.