Nasikitishwa na watu waliokimbilia fani bila kujua maudhui yake,wasiopenda kujifunza maudhui ya kazi yenyewe kwa kusoma ama kujifunza toka kwa wateja wao wastaarabu wanowapa kazi mbalimbali waziongoze ama kusimamia.
Hivi majuzi nimesikia mc akiandaa watu kupokea mwili /jeneza la marehemu akitamka kwa msisitizo kabisa ...... Tujiandae kupokea dead body !!!!!!!! hivi kuna haja gani kuchanganya kiswahili na lugha usioijua (english) wakati unazungumza na jumuia inayojua kiswahili kwa ufasaha na pia kwa baadhi pia wanajua kiingereza fasaha??????
Mbwembwe za nini hapa.
Upuuzi mwingine ni pale mc huyu huko makaburini katika ibada ya mazishi alipotoa wasifu wa mfiwa ( auto mechanic ) kuwa eti huyu ni fundi wa magari si ya watu wote bali ya sisi (yeye mc na anaowajua limbukeni wenzake) tuliojaliwa kuwa na magari!!!!!!!!!!
sehemu ya umati wa waombolezaji waliguna na kusikitishwa na upuuzi huu??????.
Je saa km chama tunachukua hatua gani kukomesha tabia hizi za mbwembwe
yatupasa kukua kimwili na kifikra pia kusoma alama za nyakati na mazingira
saa daima