mc harusini.

yaser

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
1,361
Reaction score
299
mc ukumbini katika kumpamba bi harusi akasema, 'sasa nawapa sifa kubwa za bi harusi, tangu nimfahamu bi harusi hajawahi kuvaa nguo za ndani' watu wakaduwaa. Akasema 'narudia kwa msisitizo na sijakosea. Bi huyu havai kabisaa nguo za ndani,yeye ni za kutoka ITALY, ENGLAND na USA. Hebu mshangilieni.
 
Ayayayaaaa! Bwana aruc alishaanza kutoka jasho.
 

kwelì nguo za ndani = made in magambaland. Nimeipenda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…