Mbweni ijayo

Mbweni ijayo

Wakuu nafanya speculation.. Je ni sehem gan bagamoyo ina opportunity ya kua kama mbweni ijayo.. Kama unajua tafadhali shusha comment hata kama sio b/moyo
Mbweni kunajegwa bilq ya eneo zima kufanyiwa unyoofu...watu wanajenga kwenye mabonde na milima na juu ya vichuguu
 
Wilaya ya Bagamoyo imekosa watu smart.


Zinga na. Mapinga ilikua iwe Half Masaki wangeipima na kuweka Utaratibu mzuri wa miundombuni
 
Back
Top Bottom