N nzagambadume JF-Expert Member Joined Apr 9, 2018 Posts 2,430 Reaction score 5,787 Oct 28, 2018 #1 kama kawaida mwana mbagala katupia dakika ya 84 ila kama kawaida ya ujinga wa defence ya genk goal likasawazishwa dakika ya 90 lakini bado wanaongoza ligi Samatta kafikisha goals 8 yupo kwenye kundi la wanaoongoza kwa magoli
kama kawaida mwana mbagala katupia dakika ya 84 ila kama kawaida ya ujinga wa defence ya genk goal likasawazishwa dakika ya 90 lakini bado wanaongoza ligi Samatta kafikisha goals 8 yupo kwenye kundi la wanaoongoza kwa magoli
S Sumu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,041 Reaction score 6,311 Oct 28, 2018 #2 Yupo vizuri ila umri umemtupa mkono.
thanos JF-Expert Member Joined Jul 25, 2018 Posts 1,118 Reaction score 1,179 Oct 28, 2018 #3 Sumu said: Yupo vizuri ila umri umemtupa mkono. Click to expand... Kwani ana umri gan?
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 53,610 Reaction score 133,294 Oct 28, 2018 #4 Hadi okwi nae katupia
Antonio de Guzman JF-Expert Member Joined Jun 20, 2016 Posts 7,944 Reaction score 15,711 Oct 28, 2018 #5 thanos said: Kwani ana umri gan? Click to expand... Ana miaka 26
Antonio de Guzman JF-Expert Member Joined Jun 20, 2016 Posts 7,944 Reaction score 15,711 Oct 28, 2018 #6 Sumu said: Yupo vizuri ila umri umemtupa mkono. Click to expand... Miaka 262
thanos JF-Expert Member Joined Jul 25, 2018 Posts 1,118 Reaction score 1,179 Oct 28, 2018 #7 Antonio de Guzman said: Miaka 262 Click to expand... Mbona umri bado mdogo ana miaka 8 ya kusakata kabumbu kwa ubora
Antonio de Guzman said: Miaka 262 Click to expand... Mbona umri bado mdogo ana miaka 8 ya kusakata kabumbu kwa ubora