fisadimpya
Senior Member
- Oct 27, 2011
- 191
- 103
Wabongo tuache kuikuza Genk na hiyo ligi ya kijinga ya Ubelgij mchezaji bora Afrika hakustahili kwenda kwenye huo uchafu.Ukiingia blog za sport za kibongo siku tu akifunga ndo timu inasikika
Ulitaka haende timu gani?
Ndio alitokea timu hiyoHivi De Bruyne alichezea hiyo timu pia?
Samatta yupo timu sahihi. Mtoa mada unalo unalotaka kusema, sema tu usiogope!Hapo ni sahihi kabisa na atasonga akitokea hapo..
Hajui anenalo!Mtoa post sio mwanamichezo
Ndio tulivo sisi. Sisi Matanzania.Ujuaji mwingine daaah"!!
kwa hiyo kama alitokea huko unataka mfananisha na samatta?Ndio alitokea timu hiyo
Hivi De Bruyne alichezea hiyo timu pia?