Mshambuliaji wa kimataifa watanzania Mbwana Samatta jana aliibeba timu yake ktk hatua ya makundi baraniAfrica baada ya kufunga bao pekee ktk dk 66 baada ya kuunganisha kwa kichwa cross ya mtanzania mwenzake Thomas Ulimwengu.
Mpaka mwisho wa mchezo Tp Mazembe 1 sewe 0.
Pia aliibeba timu yake katika mchezo ulio chezwa Ivory Coast tar 23/03/14 baada ya kufunga bao pekee ktk dk ya 89.
Wakati huo walikua wameshaa fungwa bao 2. mpaka mwisho wa mchezo sewe 2 tp mazembe 1.
Waandishi muwe mnaandika habari za huyu dogo msimbanie.