uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 11,617
- 27,584
Kuna watu dini imeharibu kila kitu vichwani mwao.mtu anashangilia yanga kufungwa na alhaly kwa sababu wameshika msahafu huku akisahau mauaji ya Cairo wakati huo msahafu ukiwepo mwingine ataona sawa kwa mtoto kuuliwa Iraq huku akisahau mateso wanayopata watu weusi north Carolina dini isikuzuiwe Kuona kwa usahihi.