Kwa mtazamo wangu mimi namba 4 ndio kavunja rekodi sababu aliwakuta watu tayari wanacheza yeye kafanya yake!! Na tena sio mtanzania, nina wasiwasi goli lake ndio goli la kwanza la kichwa kwa Aston Villa toka msimu huu uanze kama sijakosea.
Sasa 1 mpaka 3 kavunja rekodi ya nani! Mie naona tuseme kuwa ndugu yetu samatta kaweka rekodi!
Na nadhani rekodi yake namba 1 ngumu kuja kuvunjwa, atakaejaaliwa kwenda kucheza EPL hatovunja rekodi ya Samatta ila atakuwa kaweka rekodi yake kuwa Mtanzania wa pili kucheza EPL.
Sasa wewe uandike nini ikiwa wote ntawaandika mimi?
Nimeona hamumwandiki Mbwana Samatta, Muislam mwenzangu, hizi rekodi muhimu anazovunja ndiyo maana nikamwandika.
Unaona vibaya?
Sawa nakubali tu ili nisibishane na wewe tukakoseana heshima. Usiku mwema.Amevunja.
Waislam wadini sana, watu hawajugi tu. Alfu pia ni watu wanaopenda kulalamika
Happy dude
Kiswahili na waswahili...hajavunja rekodi bali kaweka rekodi kama mtanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kavunja rekodi ya waislam wa Tz.👳💊 😒
Ma Shaa Allah.
Kijana wetu amevunja rekodi zifatazo mpaka sasa.
1) Mtanzania wa kwanza kucheza Premier League ya Uingereza.
2) Mtanzania wa kwanza kufunga goli la Premier League.
3) Mtanzania wa kwanza kufunga goli la Premier League kwenye mechi ya kwanza.
4) Mtanzania wa kwanza kufunga goli la kichwa la kwanza la Aston Villa toka msimuu huu uanze.
5) Mchezaji wa kwanza kupanda thamani ndani ya Premier League msimu huu ndani ya mechi mbili tu.
Ongezea...
Samatta anatarajiwa kucheza tena tarehe 16-02-2020 wakati timu yake itapopambana na Tottenham (timu ya Uingereza anayoshabikia Kikwete).
Tumuombee dua njema kijana wetu, anatupeperushia bendera yetu ya Tanzania vizuri kabisa huko Uingereza.
Allah amuondolee na amuepushe na hassad zote. Amiiin.
View attachment 1354340
Kuna jambo hapo sielewi hivi kuna shule zinafundisha ujinga siku hizi@FaizaFoxyZa Tanzania, ya Aston Villa.
Hivi mnachosoma hamuelewi?
Hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kikwete anashabikia Newcastle acha uongo wewe bibi.Ma Shaa Allah.
Kijana wetu amevunja rekodi zifatazo mpaka sasa.
1) Mtanzania wa kwanza kucheza Premier League ya Uingereza.
2) Mtanzania wa kwanza kufunga goli la Premier League.
3) Mtanzania wa kwanza kufunga goli la Premier League kwenye mechi ya kwanza.
4) Mtanzania wa kwanza kufunga goli la kichwa la kwanza la Aston Villa toka msimuu huu uanze.
5) Mchezaji wa kwanza kupanda thamani ndani ya Premier League msimu huu ndani ya mechi mbili tu.
Ongezea...
Samatta anatarajiwa kucheza tena tarehe 16-02-2020 wakati timu yake itapopambana na Tottenham (timu ya Uingereza anayoshabikia Kikwete).
Tumuombee dua njema kijana wetu, anatupeperushia bendera yetu ya Tanzania vizuri kabisa huko Uingereza.
Allah amuondolee na amuepushe na hassad zote. Amiiin.
View attachment 1354340
Uliza upate kuelewa. Kuuliza si ujinga.Kuna jambo hapo sielewi hivi kuna shule zinafundisha ujinga siku hizi@FaizaFoxy
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani yeye ndiye mchezaji soccer wa kwanza Mtanzania kucheza nje ya Tanzania?Kiswahili na waswahili...hajavunja rekodi bali kaweka rekodi kama mtanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo vimama vyako vitakuwa vya kilokole, sivishangai, maana kuna mlokole nilimsoma ameandika "football" ni haramu.Samatta amefanya mpaka vibibi vya mbagala sasa vimeanza kufuatilia rekodi za mpira wa miguu ilihali zamani vilisema ni haramu!
Vipi kamari nayo ni haramu?Hivyo vimama vyako vitakuwa vya kilokole, sivishangai, maana kuna mlokole nilimsoma ameandika "football" ni haramu.
Msome: Football: Should Christians Be Involved?
Ma Shaa Allah.
Kijana wetu amevunja rekodi zifatazo mpaka sasa.
1) Mtanzania wa kwanza kucheza Premier League ya Uingereza.
2) Mtanzania wa kwanza kufunga goli la Premier League.
3) Mtanzania wa kwanza kufunga goli la Premier League kwenye mechi ya kwanza.
4) Mtanzania wa kwanza kufunga goli la kichwa la kwanza la Aston Villa toka msimuu huu uanze.
5) Mchezaji wa kwanza kupanda thamani ndani ya Premier League msimu huu ndani ya mechi mbili tu.
Ongezea...
Samatta anatarajiwa kucheza tena tarehe 16-02-2020 wakati timu yake itapopambana na Tottenham (timu ya Uingereza anayoshabikia Kikwete).
Tumuombee dua njema kijana wetu, anatupeperushia bendera yetu ya Tanzania vizuri kabisa huko Uingereza.
Allah amuondolee na amuepushe na hassad zote. Amiiin.
View attachment 1354340
hhahahah na jezi nnayo japo sio original.Kwa sasa lazima ataishabikia na Aston Villa. Kama wewe.
Duuuu ufaham wako una warakini ndio umefika hukoWaislam tuna vipaji sana Allah mkubwa