cliff mkinga
Senior Member
- Aug 29, 2013
- 107
- 83
Hatimaye mchezaji mtanzania anayekipiga krc genk Mbwana Samatta amefunga goli la kwanza tokea ajiunge na timu hiyo ya ubelgiji. Samatta amefunga goli hilo kwenye mechi ya leo dhidi ya club brugge inayoongoza kwenye ligi kuu ya nchi hiyo. Goli hilo lilifungwa dakika ya 81 ya mchezo.