Mbwana Samata: Special Thread

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
Wakuu,

Salaam. Hapa tunakutana mashabiki wote wa Samatta, lengo ni kumsapoti pamoja na kupeana Feedback katika mechi zake zote.

Tutamjadili jembe letu na kumtia moyo bila kusahau kupost picha kali zote akiwa uwanjani.

Mimi na Samatta mpaka mwisho.

samagoal77-20200201-0001.jpeg
nikkwapili-20200201-0001.jpeg
professorjaytz-20200201-0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom