yah,benki inayotunza habari/information za mtu au kitu!!!Hii Wikipedia ni benki???
We ndo mzazi wake? Wivu wa namna hii ni mbaya sanaAmezaliwa mw 1992! Nashauri msako wa waliofoji vyeti upige hodi kwenye club za soccer.
Kwanini wewe umeelewaje hapo?.We ndo mzazi wake? Wivu wa namna hii ni mbaya sana
Wewe unajua kazaliwa lini mpaka unakisoa taarifa zake ambazo ndo zinamtambulisha katika mambo yake??Kwanini wewe umeelewaje hapo?.
Kijana wa mwaka 1992 huyo, au unataka kusema Wikipedia imekosea?
Mbona mimi nilikua sijui ingawa nimetimuliwa UDOM na mkulu juzi juzi tu??Sasa kuna mtu gani haijui wikipedia jamani? Hata wa darasa la pili ukimpatia simu ataingia, jf kazi kwelikweli hata thread ya wikipedia inaanzishwa humu? Duh
kwani kuna mtanzania mwajiriwa asiyekuwa na cheti feki? hebu jiongeze kidogo nawe.Amezaliwa mw 1992! Nashauri msako wa waliofoji vyeti upige hodi kwenye club za soccer.
Wapi nimekukosoa mkuu?Wewe unajua kazaliwa lini mpaka unakisoa taarifa zake ambazo ndo zinamtambulisha katika mambo yake??
Mbona mimi nilikua sijui ingawa nimetimuliwa UDOM na mkulu juzi juzi tu??
Hatujaamua bossMimi na wewe hatumo
Hahahaha, kumbe mimi nimekuzidi ukilaz.a eeh, au wewe ndiye uliyenizidi?Hahahaa...mbona mimi nilikuwa najuwa ingawa nimetimuliwa na Magufulii?
Futa andika wewe mwaka unaona unafaa, halaf ukae kimya...Amezaliwa mw 1992! Nashauri msako wa waliofoji vyeti upige hodi kwenye club za soccer.