Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,441
- 3,250
Mrembo Evelyn Salt kuku yupoAndaa kuku mwekundu nkuoneshe chimbo
Nitamksgua kesho niyakachofanya nawachukua wote kwenye gari naenda kuwatrlekrza mbali huko siez kaa na mijibwa inanitia gharama kuwalisha hata hayabweki
Nlimpa dawa za minyooTafuta doctor wamifugo huenda wanaumwa!
Nawatunza mm mwenyewe mkuu naish prke yangu. And nikisafiri kuna mtu huwa namlipa anawahudumia. Sijapanga naish kwangu na niko peke yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vipi familia yako wanapenda mbwa??
Huwa kuna tatizo watu wananunua mbwa alafu majukumu ya kuwatuanza anaachiwa mtu mwingine nyumbani. Aliyeleta mbwa hashindi nyumbani.
Hali ikiwa hivyo ujue ukiondoka tu mbwa anapitia kipindi kigumu, hata chakula watu wanasahau kumpa. Mwisho wa siku anakata tamaa jumla, furaha yote ya maisha inapotea.
Mbwa wanachezewa sana mkuu maana jamaa zetu huwa hawataki kubwekrwaUnakaa mkoa gani, wanapologa mpaka mbwa[emoji16] uchawi siku hizi umekua cheap Sana.
😁😁Mbwa wanachezewa sana mkuu maana jamaa zetu huwa hawataki kubwekrwa
Basi ukisafiri huyo unayemlipa kuwatunza kuna kitu anafanya.Nawatunza mm mwenyewe mkuu naish prke yangu. And nikisafiri kuna mtu huwa namlipa anawahudumia. Sijapanga naish kwangu na niko peke yangu
Nawatunza mm mwenyewe mkuu naish prke yangu. And nikisafiri kuna mtu huwa namlipa anawahudumia. Sijapanga naish kwangu na niko peke yangu
🤣🤣🤣Mbwa kazi yake kula, ukitaka kusikia Katoa sauti basi usimpe msosi, utasikia sauti zote za malalamiko
Njoo nikuoeFanya mpango uoe uwe na familia umri unaenda unakaaje kwako pekee yako ndio maana hata mbwa wanaona nishai kukubwekea maana wanaona uko mpweke bora wawe wanakuliwaza ivo