Bora aseme hivyo,mwingine angesema,'dah kumbe demu wako mkali hivi!.Kwanza angeuliza huyu mbwa ni wako? Kuna tatizo la kudandia sana, kwa mfano mtu anakukuta umekaa na demu anakimbilia kusema, vipi huyu ndio shemeji yetu? Hilo ni kosa, kwa nini usiombe tu utambulisho!
Mh!kwani ni lazima awe mweusi?bac hiyo heading nikadhani ni yule 'mbwa mweusi' asiyekoma kuingia matanuri yenye joto kali
Mh!kwani ni lazima awe mweusi?