Mbwa wanauzwa

Mbwa wanauzwa

MAKWAWA77

Member
Joined
May 23, 2019
Posts
8
Reaction score
1
Mbwa wa ulinzi wanapatikana Pugu Kajiungeni. Aina ni GSD wenye umri wa kuanzia miezi 3 mpaka 6. Yeyote mwenye uhitaji basi awasiliane kupitia namba ya simu 0715831645.
 

Attachments

  • 20190605_174458.jpg
    20190605_174458.jpg
    160.9 KB · Views: 60
Wafanyabiashara wa mbwa hawatajagi bei sijui kwanini tu!!! Ukimuomba anakuambia njoo DM 😁😁😁
 
Mbona Mbwa wa kwanza Kulia ana Pozi la Kijibwa Koko?
 
Mbwa wa ulinzi wanapatikana Pugu Kajiungeni. Aina ni GSD wenye umri wa kuanzia miezi 3 mpaka 6. Yeyote mwenye uhitaji basi awasiliane kupitia namba ya simu 0715831645.
Asanteni waungwana kwa support yenu. Mbwa wameishanunuliwa wote.
 
Kaona hawanunuliki kamaliza Tangazo kwa kuwarusha roho na kuzuia maswali mengi,🤣🤣🤣🤣
[/QUO

NI WIVU TU in GWAJIMA's voice 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. MZIGO UMEISHA NA SOON WANATOTOA WENGINE NA NITAWARUSHA HAPA.
 
ACHA UONGO WW WAMEKUFA WOTE KWA DENGUE

Huu ni uswahili pure! Sometimes ni bora kukaa kimya ukatunza heshima yako kuliko kuandika madudu umuharibie mwenzio biashara, halafu bila faida yeyote.

Ukiskia uchawi ndo huu sasa
 
Huu ni uswahili pure! Sometimes ni bora kukaa kimya ukatunza heshima yako kuliko kuandika madudu umuharibie mwenzio biashara, halafu bila faida yeyote.

Ukiskia uchawi ndo huu sasa
Thanks ndugu. This is Bongo aisee. Platforms zimewekwa ili tubenefit nazo but sadly hatujielewi. Wenyewe tunasema eti 'HAPA KAZI TU'.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom