MBWA WANAUZWA, Belgian Shepherd Malinois

kipusy

JF-Expert Member
May 7, 2010
639
321
Roulette alikuwa anahitaji.......ngoja aje, jiandae kumuuzia kwa bei tahfif huenda ukawekwa kwenye zone ya free ban
 
Last edited by a moderator:

Ah, huyu ni mbwa wa kulinda. Mi natafuta ya kumkeep mtoto busy.
belgian_shepherd_dog_malinois-15281.jpg
Bichon-Frise_w450.jpg
 
Dah! Roulette .......hao wa kucheza kwenye makochi..msosi wa supamaketi...kukojoa kwenye poti......Ama kweli siku hizi watoto wana raha...................Zama zetu tunaishi na paka ndani lakini masuala ya msosi anajitegemea

Kwa nini usimwambie atengeneze tiara itam-keep bize mpaka utafurahi
 
Hahahaha, nimechekaje! Unaweza kudhani alikua anajitegemea ila lazima Mother alikua anamwekea kidogo kila siku.
Mtoto anataka sana mbwa, na napenda awe na mbwa, inamfunza mtoto sense of responsibility toka mapema, kwamba akiwa na kiumbe kinacho mtegemea she is responsible for her dog, no matter her mood, no matter the weather etc. Halafu mi nachukia paka sana, so we can't have a cat (najua JS anapenda paka sana na atanishangaa)
 
Haya kila la kheri.......Ila nakumbuka tulikuwa tukikutana na mbwa koko njiani anapigwa mawe balaa...hawezi kukatisha mtaani, na hii ni kwa mitaa yote enzi zetu. Sasa sijui hii imenifanya nikose hiyo sense of responsibility!!! labda nimwite mdogo wangu Mphamvu au my shemeji Kaizer asaidie, ama Erickb52 ambaye tulioga wote mtoni enzi zetu
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha, nimechekaje! Unaweza kudhani alikua anajitegemea ila lazima Mother alikua anamwekea kidogo kila siku.
Mtoto anataka sana mbwa, na napenda awe na mbwa, inamfunza mtoto sense of responsibility toka mapema, kwamba akiwa na kiumbe kinacho mtegemea she is responsible for her dog, no matter her mood, no matter the weather etc. Halafu mi nachukia paka sana, so we can't have a cat (najua JS anapenda paka sana na atanishangaa)

Not fair ooooo :A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry:
 
Back
Top Bottom