rastamonsta
Member
- Dec 22, 2014
- 70
- 39
3.4 mil tsh kununua Mbwa daah.
Hello every1,
Nauza huyu mbwa wa kike aina ya Rottweiler.Nilimnunua kutoka Kenya na kumfundisha "basic obedience" pamoja na guard instincts kumanisha anaskia ukimwambia sit,down,come,leave it,stay,attack,na mengine mengi.
Ana miezi mitano na chanjo zote ashapata hadi ya rabies.Ni mkali sana kwa strangers.Bei ni $2000.
Not a bad idea either.it all. Depends on wether you wanted a dog or cctv for security.With a dog yu have both cctv and r"risasi".and u can hav a cctv for less I believe.Hiyo US $ 2,000 naweza kununua CCTV system na kuiweka kuhakikiksha mali yangu imekaa salama.
sijui ni ushamba wangu?ana nini huyo mbwa hadi auzwe dola 2000
na hata msichana wa kazi utaweza kum-monitor!Hiyo US $ 2,000 naweza kununua CCTV system na kuiweka kuhakikiksha mali yangu imekaa salama.
na hana mkia ukimnunua itabidi uwe unamfukuzia nzi!!Kwanza kachooka ulimi wooote nje!!! Fyuuuuu