Mbwa mvivu

Mbwa mvivu

ng'wanankamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
346
Reaction score
120
Fikiria unafuga mbwa halafu mbwa anakuwa mvivu kiasi kwamba mbwa wa jirani akibweka na wa kwako nae anasema 'me too'!
 
Si km vile ku like page?nadhani huyo koko yuko sawa siku hizi hata wao wamehamia digital.
 
Back
Top Bottom