Mbwa kupiga kelele (kulia) wakati wa adhana ya asubuhi hutokana na nini?

Kisayansi, ukiacha binadamu, mbwa ni kati ya wanyama wanaofuatia kwa akili nyingi hivyo nadhani wanamrudishia Mola utukufu wake! Mbona hujauliza ndege? Maana muda huohuo ndege nao hupiga kelele kushangilia siku mpya mbona hujauliza hilo?
Sio kweli mkuu, kuna roho chafu (wachawi, vibwengo) wanaona. Nakuhakikishia.
 
Tusaidiane katika hili. Wanaosema dunia ni kijiji, hawakuitazama dunia wakati usiku (katika ulimwengu wa roho.).
Mbwa, fisi, bweha, paka, jogoo, bundi, na vinginevo vingi, ni viumbe vinavyoweza kuona katika Astral dimensions, yaani ngazi za nje ya mwill (phisical body).
Kati ya viumbe hawa mbwa ana uwezo zaidi wa kupambanua.
Mbwa akibweka, fahamu kuwa anakutaarifu kuwa kaona kiumbe cha kawaida yani mtu Au mnyama anasogea katika eneo hilo. Yawezekana akawa mwizi , au mbwa, au hata paka.
Mbwa anapotoa mlio wa kuomboleza, huwa anatoa taarifa kuwa anayekuja eneo hilo, hayuko katika umbo la yeye kushambulia au kumfukuza. Wachawi anapokuja katika nyumba au eneo lolote, huja akiwa katika protection field iitwayo "Mirror dimension ",ambapo huwezi kumwona kwa macho wala kumsikia hata akikusemesha. Ni mbwa tu anayeweza kumuona . Mtu aliye kipofu huweza kusikia movements za mchawi kwa sababu kipofu hawezi kuwa hypnotized kama alivo mbwa.
Sasa basi, ufanyeje ukisikia mbwa anatoa mlio huo, anza kuomba ulinzi wa MUNGU . Kama wewe ni mkristo, anza kukemea katika JINA LA YESU ukiachilia Damu ya Y E S U katika eneo hilo utasikia mbwa watanyamaza kwa wakati mmoja.
Fanya hivyo kila mbwa wanapoanza kulia mlio huo usijifunike gubi gubi wala kutoka nje kemea. Usifikiri wachawi utashindana nao kwa kutoka nje.
 
... maelezo marefu off point! Hoja ya mleta mnada ni ubwekaji wa mbwa wakati wa adhana alfajiri; je, kwa maelezo yako wachawi muda wao ni wakati wa adhana tu? Elewa kwanza hoja kabla hujajibu.
 
Kwa zile jamii ambazo kunapatikana mbwa nadhani wanaelewa ikifika asubuhi wakati bilali anaanza kuongea tu lazima mbwa walie sana tena kulia kwa kuomboleza.

Akishamaliza tu wanatulia lakini akianza tu kupiga adhana hao tena nao wanalianzisha hivi kuna mwenye kujua inatokana na nini?

Sent from my SM-G532F using

JamiiForums mobile app

1. Mbwa

2. Kuku

3. Ngombe

4. Njiwa

Wapo sensitive sana kwa mapepo wachafu, majini na wachawi na usiku wa manene kuna sauti za miguno au vilio huwa wanazitoa yakipita hayo madude

Sasa kwa kuwa wenzetu husali pamoja na hayo madude ambayo yameandekwa kwenye vitabu vyao kuwa " Mungu hakuwaumba.......na wanadamu ila kumwabudu" hivyo nayo muda huo hutoka sehemu mbalimbali yakikowaingilia watu au yalikojificha kuwahi ibada hiyo ya mjumuisho wa binadamu wanaoonekana na yenyewe yasiyoonekana. Hivyo wanyama hayo huyaona na kutoa ishara kwa binaadamu kuwa madude hatari yanapita
 
Me najua mkuu.
Mbwa wetu huwa akila na kushiba sana usiku asibuhi lazima alie maana njaa inakuwa inamchapa vilivyo. Ni kama binadam tu akishiba sana usiku
 
... maelezo marefu off point! Hoja ya mleta mnada ni ubwekaji wa mbwa wakati wa adhana alfajiri; je, kwa maelezo yako wachawi muda wao ni wakati wa adhana tu? Elewa kwanza hoja kabla hujajibu.
Thats why you are called dudus. Hujiu lolote wewe kuhusu ulimwengu wa Wachawi. Mbwa na adhana wapi na wapi?. Uchawi wa kuwanga huwa ni kabla ya majogoo .
Jogoo anapowika, witch spell yoyote iliyokuwa casted huvunjka. Mbwa anayelia mlio huo saa Zach adhana huyo hafai hata kulinda banda lake mwenyewe . Mpige bakora mnyime chakula siku mbili huyo ni chizi Hafai.
Soma vizuri maelezo yangu usikimbilie kuyaita off point.
Mlio ulio wa hatari ni ule wa kuanzia saa tano usiku hadi kabla ya majogoo kuwika. Kalaga baho.
 
NATAMANI KUSEMA UKWELI, LAKIN NGOJA NIKAE KIMYA MAANA KUNA WAFIA DINI NA WATUMWA WA AKILI WATANIANDAMA UZI UHARIBIKE...

Kuna mambo yanayofanywa na hiz tahasis za kidin yamekuwa mazoea mitaan lakin jamii ingeyajuwa walahi tungekimbiana na kuzisusa hizi mambo.
 
Mbona kaeleweka jaman
... maelezo marefu off point! Hoja ya mleta mnada ni ubwekaji wa mbwa wakati wa adhana alfajiri; je, kwa maelezo yako wachawi muda wao ni wakati wa adhana tu? Elewa kwanza hoja kabla hujajibu.
 
Mbwa kulia ni ishara kuwa kaona jambo au kitu kisicho cha kawaida hasa huwa ni vya kichawi.

Usukumani mbwa akilia vile ( Nghungu) huwa anaashiria tukio baya linaweza kujiri baada ya muda fulani au hata kifo.

Mbwa huwa halii kila mara na akilia lazima kuna kitu.

Tukirudi kwa mleta mada:

Inawezekana eneo lenu mnapoishi ni karibu na njia ya wachawi ambapo muda wa azana unapowadia huwa wanakuwa wapo njiani kurudi baada ya mambo yao!

Trust me, nyie mliokulia mjini mtapinga ila ukweli ndiyo huo!
Mbwa siyo fala alie hovyo, hapo anaashiria alichokiona hana uwezo wa kukimudu au kukifukuza.
 
Aisee kwetu mbwa hubweka hasa usiku mnene wa saa nane hadi sauti zao hubadilika mlio, kiasi huwa naamka au najifunika gubigubi au natoka nje naongea ana kaa kimya.
I think Dunia yetu ni zaidi ya tui juavyo
siku nyingine ukisikia hizo sauti utulie uombe hifadhi ya Mungu.
usitoke nje yaweza kukupata mabaya
 
Sio tu wakati wa adhana Bali wakati fulani ambao kiukweli wanajua wenyewe.Labda ni kilio cha kufiwa labda mwenzao Kafa, au ni salamu tu n.k Wengine wanahusisha na masuala ya full moon,blood moon n.k View attachment 2046322
images%20-%202021-12-16T172550.507.jpg
 
Punda ikifika saa 10 (16:00) kamili lazima alie nilikua naenda mashambani vijijini tunapiga tent tunakaa hata mwez mzima huko hakuna radio wala nn mawasiliano yenyewe ya shida natumia kisimu cha tochi ukibadili laini tu saa yangu ilikua inapoteza majira Sasa nikawa nasubiria mchana hadi punda alie ndo nairekebisha punda hakosei huo muda kabisa
16:00 ni saa 10:00 alasiri.
 
Kwa zile jamii ambazo kunapatikana mbwa nadhani wanaelewa ikifika asubuhi wakati bilali anaanza kuongea tu lazima mbwa walie sana tena kulia kwa kuomboleza.

Akishamaliza tu wanatulia lakini akianza tu kupiga adhana hao tena nao wanalianzisha hivi kuna mwenye kujua inatokana na nini?

Sent from my SM-G532F using

JamiiForums mobile app
Mbwa na hao jamaa ni maadui na uadui wao ulikolezwa na kiongozi wao mmoja alikuwa akiwinda kwa kusaidiwa na mbwa.

Mbwa walipokamata swala jamaa alimchukua swala na ndipo mbwa alipokaribia alipigwa sana kuitwa yeye ni HARAMU hapaswi kusogelea nyama.
Ndipo mbwa alichukia na kuwa na kisasi nao hadi leo😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom