Mbwa German type

Mbwa German type

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
5,913
Reaction score
1,218
kama unataka ni pm wako poa wana afya ya kutosha na wanene wenye uwezo wa kuwa walinzi wazul au cal 0763342623
 
Vita imekuwa kali so umeamua kuanza kuuza mali zako?, mbwa wako kivu au goma?, usije ukatuletea spy dogs hapa tz, kaa nao huko huko.
 
hahaha vita tena,mbwa amezaa watoto 7 na mm napenda kuwa na mbwa wawil tu home
 
Back
Top Bottom