Mbwa anauzwa

Jephta2003

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2008
Posts
6,722
Reaction score
6,593
Napatikana Kibamba Dar, mbwa aliyeko kwenye picha anauzwa, ana miezi 8,ameshapata chanjo zote, call me/wasap 0713228915
 
Umesahau kuweka vitu viwili muhimu sana katika tangazo lako, Je unavijua?
 
Umesahau kuweka vitu viwili muhimu sana katika tangazo lako, Je unavijua?
Invitation to treat huwa haiitaji sana vitu hivyo, waweza kuvitaja wewe na kumshawishi yeye kukubaliana navyo.
 
Mkuu tafadhali ni mbwa specie gani huyo? Na bei yake shingapi? Ili kama mtu anakuja anakuja moja kwa moja akijua details muhimu. Am interested.. Weka details
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…