Mbuzi was shughuli

Kwikwikwikwiiii! Hawa jamaa Plan B zao za Hovyo kuliko!
 
Angekuwa raia mwingine ana kamnyama kake ingekuwa shida hapo
 


Hebu fanyeni haraka mwambieni Nyalandu akuje huku wabaya wake hawa hapa
 
CCM hawana jinsi maana hawana namna nyingine ya kuvutia watu waje kuwasikiliza. Sijui wapo wake watetezi wa haki za wanyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…