Mbuzi wa maskini hazai

Maisha ni mtihani , usiache kujaribu ndugu yangu hakuna kilicho rahisi kiivyo!
 
unaanza kuchoka maisha una miaka 24?.wengine tulisugua benchi mpaka 29 .
 
use this 2 rule in life u will be sucessful bro#1 never quit #2 remember rule no1
 

Mdogo wangu usifike mbali hivyo, chukua CV yako peleka pala ero link hapa morroco au masaki unaweza ukapata nafas ya customer service voda.japi wanalipa kidogo sio sawa na kukaa bure pia ndio mwanzo wa kupata kaz nyingne yenye maslah zaid. Usikate tamaa "
 

Maboya kama hao wapo kibao, hawana faida hata kubaki na contacts zao katika simu yako Mau, piga chini, Mola atakunjua siku moja kwa sie pia, lets have faith and hope.
 
Maboya kama hao wapo kibao, hawana faida hata kubaki na contacts zao katika simu yako Mau, piga chini, Mola atakunjua siku moja kwa sie pia, lets have faith and hope.

Thanks mkuu, huwezi amini chuo tulikuwa twala nyama choma pamoja
 

nashukuru kwa ushauri kawaida yangu hua naufanyia kazi muda jc mrefu tauteleza il undugulization hakuna kwel maana ofc hzo cc pangu pakavu hua tunawekwa kapun anyway tajarbu
 
unaanza kuchoka maisha una miaka 24?.wengine tulisugua benchi mpaka 29 .

Tunaish kwa malengo ndugu na co umr chamsing nkuangalia
tunakablia vp na changamoto hz haijalsh namiaka24 au 29 jiulze
pale ulpokusudia unapo au?
 
ndugu zangu siku zote maisha yanachangamoto sana yani mtu ukiwa huna kazi hata heshima inapungua si kwa ndugu hadi marafiki wanakudharau na kukatisha tamaa lakini nimegundua changamoto kwa upande fulani zinatuongezea uwezo wa kufikiri na kukomaa katika kupambana nayo mi ilifika kipindi maisha yalinichezea mpaka nilikuwa nashinda njaa nilikaa nikawaza nikacheka badala ya kulia lakini sikukata tamaa maisha ni kupambana usikubali kufa kizembe "yo need to be strong to survive"...
 

You have just said the truth, family and friends will never respect you, if you are jobless.
 

kila umechoandka n point tupu na ndo hal halc ktk
dunia tulyonayo inayothamn FEDHA kuliko mtu
Daaa! Mungu yupo nasi.
 
dogo nguvu unazo, akili unayo viungo vimekamilika, na ujuzi pia unao tena ni wa kilimo...mungu akupe nini tena?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…