Mbuzi WA boer

maselengo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
325
Reaction score
167
Ndugu wafugaji na wajasiriamali naomba kama kuna mjasiriamali anaeweza kuniambia nitapata wapi mbuzi WA nyama aina ya Boer ..Kuna wakati nilipita mawasiliano na MTU WA Dodoma akasema anazo lakini kwa bahati mbaya nilipoteza mawasiliano yake.naziihitaji sana mwezi huu WA NNE kwa ajili ya ufugaji nipo mwanza buhongwa ..natanguliza shukrani kwa yeyote atakaenifanya nifanikishe hili.
 
 

Mambo mkuu vp mpk sasa kuhusu hii project yako ulifanikiwa kuwapata hao mbuzi?kama bado cheki na huyu hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…