Mkuu hao Mbuzi wanajuwa sheria za barabarani kuliko hawa Bodaboda Wetu, ni aghalabu kuwakuta wamevunja sheria za usalama barabarani.
- Hao Mbuzi wanapenda maisha ya anasa kuliko Wanyama wenzao Wafugwao, Mfano: Wanapendelea kula Kiepe, wali maharage, Mikate, samaki wakulumangia etc
- Kubwa zaidi ni Wachafuzi wazuri Wa Mazingira hvyo naungana na ww kuwa Mamlaka zichukue hatua katika hili..!